Habari za Punde

Kinyanganyiro Cha Kuwania Urais wa ZFA Mgombea ajitokeza Kuchukua Fomu ya Uongozi leo Kamati ya Uchaguzi ZFA.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya ZFA Taifa Ndg Suleiman Hassan Kibabu akipokea Fedhav kutoka kwa Mgombea Nafasi ya Makamu wa Rais wa ZFA Zanzibar Ndg Mohammed Masoud akikabidhi fedha shilingi laki mbili kwa ajili ya fomu hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya ZFA Taifa Ndg Suleiman Hassan Kibabu akimkabodhi Fomu ya Kugombea Uongozi ZFA Taifa Mgombea Nafasi ya Makamu wa Rais wa ZFA Zanzibar Ndg Mohammed Masoud, akiwa Mwanachama wa kwanza kujitokeza kuchukua fomu hiyo kuwania Uongozi wa ZFA katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao tarehe 14 April 2016 Kisiwani Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.