Credit: Talib Ussi
MWENGE WA UHURU WAZINDUA KITUO CHA POLISI NYAKITONTO KWA AJILI YA KUONGEZA
USALAMA
-
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ismail Alli Issu, amesema
uwepo wa miradi mingi yenye thamani kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya
Kasulu ni...
8 hours ago
Huu ndo uwanja wa ndege wa Zanzibar?
ReplyDeleteNi jengo jipya la huduma kwa wasafiri watakao tumiya uwanja wa ndege wa kimataifa.
ReplyDeletemuandishi unatuboa sasa unaweka picha hamna maelezo ndio vipi?, au ndo tuagulie tu.
ReplyDeleteMimi nimeambiwa hii ni airport ya Kisumu Kenya. Na hapa naona hakuna jawabu iliyotolewa
ReplyDelete