Habari za Punde

Vijana wa UVCCM Wakishangilia Ushindi wa Dk Shein Zanzibar.

Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tanzania Mhe Shaka Hamdu Shaka akiongoza Vijana katika kusherehekea Ushindi wa Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, baada ya Kutangazwa Mshindi wa Uchaguzi huo na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha S Jecha katika Ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Zanzibar.
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.