Habari za Punde

ZLSC tawi la Pemba lafika jimbo la Tumbe kutoa msaada wa kisheria

AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba Khalfan Amour Mohamed akifafanua jambo, wakati akijibu hoja za wananchi wa kijiji cha Kibubunzi shehia ya Mihogoni Jimbo la Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba, wakati watendaji wa Kituo hicho walipofika shehiani hapo kutoa msaada wa kisheria, (Picha na Haji Nassor, Pemba).  
SHEHA wa shehia ya Mihogoni Jimbo la Tumbe wilaya ya Micheweni Pemba, Salim Said Salim akifunga mkutano wa kutoa msaada kisheria ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba na kufanyika kijiji cha Kibubunzi shehiani humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.