Habari za Punde

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Akabnidhi Misaada ya Madawa na Maji Kambi ya Kipindupindu Chumbuni Zanzibar.

Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem,akiwasili katika Kambi ya Kipindupindu Chumbuni Wilaya ya Magharibi, kwa ajili ya kutembelea Kambi hiyo na kukabidhi misaada ya Madawa na Katuni za Maji kwa ajili ya Wananchi wanaopata Tiba katika Kambi hiyo.Kushoto Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed na kulia Daktari Dhamani wa Kambi ya Kipindupindu Ramadhani Mikidadi.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akizungumza na Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed wakati wa kutembelea Wananchi waliolazwa katika Kambi hiyo na kukabidhi misaada ya Madawa na Katuni za Maji.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akizmsikiliza Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed. alipofika katika kambi hiyo.
 Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem akizungumza wakati wa ziara yake kutembelea kambi ya kipindupindu.
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi msaada huo. 
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Najem,akimkabidhi msaada wa dawa na katuni za maji Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhil Mohammed kwa ajili ya Kambi za Kipundupindu Zanzibar hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika kambi ya kipindupindu chumbuni Wilaya ya Magharibi B Unguja

Daktari Dhamana wa Kanda ya Unguja Dk Fadhili Mohammed akitowa shukrani kwa Ubarozi wa Kuwait kwa msaada wao wa madawa na katuni za maji. 
Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Balozi Jasem Al-Naje, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi misaada ya Madawa na Katuni za Maji katika Kambi hiyo kwa wananchi wanaopata tiba ya maradhi hayo ya mripuko.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.