Habari za Punde

Tamasha la Ukusanyaji Maoni ya Wananchi Juu ya Uboreshaji wa Sera ya Tehama Kitaifa Lafanyika katika Viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu wa Mapinduzi Michezani Zanzibar.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, akisalimiana na Maofisa wa Wizara ya Kazi Mawasiliano na Usafirishaji wakati akiwasili katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar, kuhudhuria Tamasha la Ukusanyaji wa Maoni ya Wananchi Juu ya Kuboresha Sera ya Tehama Kitaifa, katikati Mkurugenzi wa Mawasiliani Eng Clarence K Ichwekeleza, akitowa maelezo ya maofisa hao.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, akisalimiana na Maofisa wa Wizara ya Kazi Mawasiliano na Usafirishaji wakati akiwasili katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar, kuhudhuria Tamasha la Ukusanyaji wa Maoni ya Wananchi Juu ya Kuboresha Sera ya Tehama Kitaifa, katikati Mkurugenzi wa Mawasiliani Eng Clarence K Ichwekeleza, akitowa maelezo ya maofisa hao.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, akimsikiliza Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Wizara ya Kazi Usafirishaji na Mawasiliano Tanzania Eng Clarence K Ichwekeleza, kuhusiana na Tamasha hilo. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, akipata maelezo kwa Mratibu wa Matamasha Yasiyo Rasmin Tamzania Ndg Novat Karol, wakati akijisajili na kupata koponi ya kutowa maoni yake juu ya Uboreshaji wa Mitandao wakati wa Tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pemba Juma akipata maelezo kutoka kwa Kijana Shaban Ali, huduma za Mitandao wakati wa Tamasha la Ukusanyaji Maoni ya Wananchi ya Uboreshaji wa Sera ya Tehama, kushoto Mkurugenzi wa Wizara ya Kazi Usafirishaji na Mawasiliano Eng. Clarence K.Ichwekeleza, tamasha hilo limefanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pemba Juma akipata maelezo kutoka kwa Eng. Clarence K.Ichwekeleza, tamasha hilo limefanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma, akitandika maoni yake juu ya Athari ya Mitandao wakati wa Tamasha hilo akitembelea mabanda ya Kada tafauti kuhusiana na matumizi ya mitandao Tanzania..
Mratibu wa Matamasha Yasiyo Rasmin Tanzania na Mtandao wa Living Labs Tanzania Ndg Novat Karol akitowa maelezo ya kusudio la Tamasha hilo la Kuboresha Tehama Kitaifa Tanzania lililofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar. 
Mwenyekiti Mtendaji wa Tanzania Youth Icon Tanzania (TAYI)Ndg. Abdalla Miraj Othman waratibu wa Tamasha hilo akitowa maelezo ya Tamasha hilo kwa mgeni rasmin Waziri wa Elimu Zanzibar Mhe Riziki Pembe. 
Mkurugenzi wa Mawasiliano Wizara ya Kazi Usafirishaji na Mawasiliano Tanzania Eng. Clarence K Ichwekeleza, akizungumza madhumuni ya Tamasha hilo, lililofanyika katika viwanja Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar.  
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma akipokea Kitabu cha Mafunzo ya Matumizi ya Mitandao (Tehama) kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Eng. Clarence K Ichwekeleza, wakati wa uzinduzi wa Tamasha hilo lililofanyika katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar.
Mkurugenzi wa ICT Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg Omar S Ali, akizungumza katika Tamasha hilo na kumkaribisha mgeni rasmin Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Riziki Pembe Juma akilifungua Tamasha hilo na kutowa nasaha zake kwa washiriki wa Tamasha lililofanyika katika viwanja ZSSF Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar Michezani kisonge.



 




1 comment:

  1. msitupumbaze nyie munakusanya maoni kwenye mnara wa kumbukumbu, maanayake nini? si hao mambumbumbu ndio wachangie, na muchukuwe maoni yao tu?,viongozi kumbukeni uongozi ni majukumu musijifanyie munavyotaka tu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.