Habari za Punde

Hafla ya Utiaji wa Saini wa (MOU) Kati ya Zanzibar Chamber Nation Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (ZNCCIA) na Tanzania Chamber of Commerc, Industry and Agriculture (TCCIA)


Mkurugenzi wa (ZNCCIA) Bi.Munira Humoud akitowa maelezo ya hafla hiyo kwa waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar wakati wa utilianaji wa saini hiyo ya makubalioano ya Taasisi hizo mbili katika ushirikiano wa Biashara kwa wanachama wao.  
Waandishi wakifuatilia hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkaazi wa Trade Mark East Africa Tanzania Dk.Josaphat Kweka akizungumza wakati wa hafla hiyo na kutowa nasaha zake kwa Taasisi hizo za kuwaendeleza Wafanyabiashara Zanzibar na Tanzania katika kufikia kiweango cha kimataifa cha bidhaa zao. 
Makamu Mwenyekiti wa ZNCCIA Ali Aboud akizungumza wakati hafla hiyo ya utilianaji wa saini ya makubaniliano ya Taasisi yake na ya TCCIA ya Tanzania Bara. hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za ZNCCIA Kinazini Zanzibar. 
Mkurugenzi Mtendaji wa (TCCIA) Bi Magdalene Mkocha akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini ya makubaliano ya Ushirikiano wa Taasisi hizo mbili katika kukuza Biashara Zanzibar na Tanzania hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za ZNCCIA Kinazini Zanzibar. katikati Mkurugenzi Mkaazi wa Trade Mark East Africa Tanzania Dk Josaphat Kweka na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Balozi Amana Salum Ali.  
WAKURUGENZI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Viwanda na Wakulima Zanzibar na Tanzania, wakisaini Makubaliano ya ushirikiano,kwa taaasisi zao Kushoto Mkurugenzi wa (ZNCCIA ) Bi Munira Humoud na Mkurugenzi wa (TCCIA)Bi Magdalene Mkocha, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Chember Zanzibar, wakishuhudia Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe Balozi Amina Salum Ali (katikati) kulia Mkurugenzi Mkaazi wa Trade Mark East Africa Dk Josaphat Kweka na kushoto Makamu wa Rais  wa Chember Zanzibar Ali Aboud.(Picha na Othman Maulid)

WAKURUGENZI wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Viwanda na Wakulima Zanzibar na Tanzania, wakibadilishana nyaraka baada ya kutiliana saini ya makubalioano ya ushirikiano,kwa taaasisi zao Kushoto Mkurugenzi wa (ZNCCIA ) Bi Munira Humoud na Mkurugenzi wa (TCCIA)Bi Magdalene Mkocha, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Chember Zanzibar, wakishuhudia Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe Balozi Amina Salum Ali (katikati) kulia Mkurugenzi Mkaazi wa Trade Mark East Africa Dk Josaphat Kweka na kushoto Makamu wa Rais  wa Chember Zanzibar Ali Aboud.
Maofisa wa Trade Mark East Africa wakifuatilia hafla hiyo ya utilianaji wa saini ya makubaliano ta Taasisi hizo.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali akizugumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya utilianaji wa saini ya makubaliano ya Ushirikiano wa Taasisi za ZNCCIA na TCCIA, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za ZNCCIA kinazini Zanzibar.
Waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe Balozi Amani Salum Ali akizungumza wakati wa hafla hiyo.

Mshauri Ufundi wa (TCCIA/TMEA) Ndg Elibariki Shammy akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini wa pande hizo mbili uliofanyika katika Afisi ya (ZNCCIA) Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.