Habari za Punde

Mradi wa Uwekaji wa Taa za Nguvu za Jua Ukiendelea katika Maeneo Mbalimbali Visiwani Unguja.

Mradi wa Uwekaji Taa zinazotumia nguvu ya jua ukiendelea katika maeneo mbalimbali ya barabara za Unguja kama inavyoonekana pichani ni moja ya sehemu ya barabara ya amani zikiwa tayari zimefungwa na kutowa huduma hiyo wakati wa usiku kutowa mwanga kwa watumiaji wa barabara hiyo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.