Habari za Punde

Mradi wa Nyumba za Fumba Town Development.

Mandhari ya Majengo ya Nyumba za Mradi wa Fumba Development utakavyokuwa baada ya kukamilika ujenzi wake kwa makaazi ya Wananchi kwa bei nafuu. kama unavyoonekana katika mchoro wa picha hiyo jinsi ukiwa ni moja ya kivutio cha Zanzibar.  
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo wa Mradi wa Fumba Town Development Mr Said Ally Said akitowa maelezo jinsi ya ujenzi wa nyumba hizo kwa mwandishi wa Blog ya Zanzinews.com alipofika Ofisini kwao Migombani Zanzibar kupata habari ya mradi huo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.