Habari za Punde

ZJCBF Yawapiga Msasa Waandishi wa Habari Kuwajengea Uwezo.


Mratibu wa Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar,Ndg. Juma Khamis Juma, akitowa maelezo kwa waandishi hao kabla ya kuaza kwa mafunzo hayo yaliofanyika katika Ukumbi wa Walemavu Weles Unguja. 
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari Zanzibar wakihudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo kuripoti habari za Wanawake na Watoto, yalioandaliwa na (Zanzibar Journalist Capacity Building Foundation.) 
Mwenyekiti wa ZJCBF Ndg. Rajab Khamis Rajab, akizungumza wakati wa mafunzo hayo na kutowa historia ya kuazishwa kwa Taasisi hiyo ya Kuwajengea Uwezo Waandishi wa Habari Zanzibar. yaliowashirikisha waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari vya Serikali na Binafsi Zanzibar.   
Waandishi wa habari wakifuatilia Mafunzo hayo yalioandaliwa na Zanzibar Journalist Capacity Building Foundation. 

Waandishi wa habari wakifuatilia mafunzo hayo kwa umakini zaidi.
Mtoa Mada Ndg Rashid Omar Kombo akiwasilisha Mada yake kuhusiana na Nafasi ya Waandishi wa Habari katika Kukabiliana na Vikwazo Vinavyowakabili Wanawake na Wasichana katika Kutimiza Malengo ya Uongozi wa Kisiasa Zanzibar.  
Waandishi wakimsikiliza Mtoa Mada Mwali Rashid Omar. akiwasilisha Mada yake katika mafunzo hayo. 
Waandishi wakifuatilia kwac makini Mada iliokuwa ikiwasilishwa na Mtoa Mada  Mwalim Rashid Omar Kombo.mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Umoja wa Walemavu Welesi Zanzibar.

Waandishi wakichangia Mada wakati wa mafunzo hayo.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.