Habari za Punde

Usafiri Kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba waimarika

Abiria wa Meli ya Sea Link kutoka Kisiwani Pemba wakiteremka katika meli hiyo baada ya kufunga gati katika bandari ya forodhani Unguja, Usafiri kati ya Unguja na Pemba umekuwa wa uhakika na kwa abiria wa pande hizi mbili kwa kuimarika huduma ya usafari katika Zanzibar na kupunguza ile kero ya usafiri na kuchukua baadhi ya Watu kutumia mwanya huo kuuza tiketi kwa bei ya juu. kwa sasa kuna meli tatu kubwa zinazotowa huduma hiyo ya usafiri Ikiwemo Meli Mpya ya Shirika la Meli Zanzibar MV Mapinduzi II, Serengeti na Sea Link,  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.