Habari za Punde

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Mchezo Afanya Ziara ZBC Redio Rahaleo Zanzibar.

Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma, akifanya ziara katika jengo la Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC Redio Rahaleo kujionea Utendaji wa Shirika hilo. akiwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe Choum Kombo.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma, akitembelea na kuzungumza na Wafanyakazi wa chumbu hicho cha habari wakati wa ziara yake kushoto Mkuu wa Vipindi vya Redio Ndg Hassan Vuai.  
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo akiangalia wafanyakazi wa Redio ZBC wakiwa katika harakati za kutayarisha vipindi vya kila siku vua redio hiyo.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo waI akizungumza na Wafanyakazi wakati wa ziara yake katika Kituo hicho cha Redio Zanzibar.
Waziri wa Habari Utalii Utamaduni na Michezo Mhe Rashid Ali Juma akizungumza na fundi wa ZBC Redio Ndg Abeid Mfaume, wakati wa ziara yake. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.