MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, May 18, 2016

Umarishaji wa Miundombinu ya Maegesho ya Magari.

Baraza la Manispa likiimarisha miundombinu ya maegesho ya magari katika Manispa ya Zanzibar kupunguza msongamano na uegeshaji wa magari ovyo katika baadhi ya barabara za Manispa ya Zanzibar, kama walivyokutwa wafanyakazi hao wakichora alama za maegesho ya magari katika jengo la Bima Unguja.