Habari za Punde

Idara ya Mipango Miji na Vijiji Zanzibar Yabomoa Milango ya Maduka ya Biashara Iliojengwa katika Eneo la Soko la Mboga mboga Mombasa kwa Kukosa Kibali.

Muonekano wa Mandhari ya Eneo la Soko la Mboga Mboga Mombasa Wilaya ya Magharibi B Unguja ambalo baadhi ya ujenzi unaendelea kujengwa kinyume na sheria za mipango Miji na Vijiji..
Wafanyakazi wa Idara ya Miji na Vijiji Zanzibar, wakiwa katika zoezi la uvunjaji wa majengo ya milango ya maduka iliojengwa kinyume na Sheria za Miji na Vijiji bila kuzingatia Vibali vya ujenzi huo kupitia Kamati ya Usimamizi na Udhibiti wa Majenzi Zanzibar.(DCU).(Picha na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar) 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.