Habari za Punde

Uzinduzi wa Klabu ya mazingira (Eco School) Wete Pemba

Ofisa Mdhamini Wizara ya Makaazi, Maji, Nishati na Mazingira Pemba, Hemed Salum, akipanda mti  katika sherehe hizo, huko katika Skuli ya Pandani Wete.
Mkuu wa Idara ya Mazingira Pemba, Mwalimu Khamis Mwalim, akipanda mti katika uzinduzi wa Klabu ya mazingira (Eco School) katika Skuli ya Wete Pemba, ambayo ni miongoni mwa skuli zilizoingia katika mradi huo  unadhaminiwa na ZAYEDESA..
Skuli ya Connecting ya Mgogoni Wawi Pemba, ikishiriki katika hafla ya  uzinduzi wa Klabu hiyo ya ( ECO School) ya Wete-Pemba.(Picha na Zuhura Msabah--Pemba.)

1 comment:

  1. Hapana, marekebisho, Maalim Hemed Salim Hemed ndiye Afisa Mdhamini wa wizara ya Maji Pemba si Mkurugenzi wa Mazingira

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.