Habari za Punde

UVCCM Pemba yavuna wanachama 211 mkoa wa kusini Pemba

 NAIBU katibu Mkuu wa UVCCM  Zanzibar Abdullghafar Idrissa akiwakabidhi kadi za CCM vijana wapya 211 waliojiunga na chama hicho kutoka Mkoa wa kusini Pemba, wakati wa ziara yake ya siku moja katika mkoa huo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

 BAADHI ya Vijana waliokabidhiwa kadi za CCM na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Abdullghafar Idrissa, wakila kiapo cha utii mara baada ya kukabidhiwa kadi hizo huko katika Tawi la CCM Vitongoji Wilaya ya Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
NAIBU Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar Abdullghafar Idrissa, akizungumza na vijana wa Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa kusini Pemba, wakati wa ziara yake ya siku moja katika mkoa huo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.