Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mheshimiwa Rashid Ali Juma, akizungumza na Watendaji wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo-Kisiwani Pemba humo katika ukumbi wa Kiwanja cha michezo Gombani Kisiwani humo.
Picha na Bakar Mussa -Pemba.
No comments:
Post a Comment