Habari za Punde

Wajumbe BLW wakagua uharibifu wa Barabara ya Kangagani Pemba

 Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya Baraza la Wawakilishi  Zanzibar, wakiangalia uharibifu wa Barabara ya Kangagani iliojengwa na Kampuni ya H/YOUNG na kufanyiwa matengenezo na Kampuni ya MECCO 
 Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya Baraza la Wawakilishi  Zanzibar ,wakiangalia uharibifu wa Barabara ya Kangagani iliojengwa na Kampuni ya H/YOUNG na kufanyiwa matengenezo na Kampuni ya MECCO 


 Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi  Zanzibar, wakipata maelezo ya uharibifu wa Barabara ya Kangagani  kutoka kwa Mhandisi wa TANROADS, Godson Michael ,iliojengwa na Kampuni ya H/Young  na kuikabidhi kwa Serikali  muda mfupi na kuharibika.



 Naibu Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Usafirishaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Shomari Omar Shomari,akitowa maelezo juu ya matengenezo hayo ya barabara hiyo, kwa Wajumbe wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar huko katika Barabara ya Kangagani Pemba.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi ya Baraza la Wawakilishi  Zanzibar, Mheshimiwa  Hamza   Hassan Juma, akiongea jambo na Wajumbe wake baada ya kubaini uharibifu wa muda mfupi wa barabara hizo zilizojengwa na Kampuni ya H/Young ambazo zilifadhiliwa na MCCA.
Bara bara ya MECCO, ambayo imejengwa kwa kiwango kilichoiridhisha Kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar , ikiongozwa na Mheshimiwa Hamza Hassan Juma.
PICHA ZOTE NA BAKAR MUSSA –PEMBA.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.