Habari za Punde

Ujumbe wa China wa Watembeza Watalii Watembelea Zanzibar na Kukutana na Wafanyabiashara ya Utalii Zanzibar.

Afisa Masoko wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg Mabadi J Mwadini akizungumza wakati wa mkutano huo wa Wafanyabiashara ya Utalii kutoka Nchini China na wa Zanzibar uliofanyika katika Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar. 
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dk Ahmada H Khatib, akifungua mkutano huo wa Wafanyabiashara ya Utalii kutoka Nchini China na Wafanyabiashara ya Utalii wa Zanzibar kuzungumzia biashara hiyo ya Utalii katika Nchini zao uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar. na kupata fursa za kutembelea sehemu za historia ya Zanzibar 
Ujumbe wa Wafanyabiashara ya Utalii kutoka Nchini China wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dk Ahmada akifungua mkutano huo na kuelezea vipaumbele vya Utalii katika Nchini hya Zanzibar kwa Ujumbe huo.
Wafanyabiashara ya Utalii Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa mkutano Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
Afisa wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg Amour Mtumwa Ali, akitowa Mada kuhusiana na Utalii wa Zanzibar kwa Ujumbe huo wakati wa mkutano wao kuelezea Utalii wa Zanzibar na wa China uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar. 
Ujumbe wa China wa Wafanyabiashara ya Utalii wakifuatilia mkutano huo na Maofisa wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar wakitowa Mada ya Utalii wa Zanzibar. 
Ujumbe wa China wa Wafanyabiashara ya Utalii wakifuatilia mkutano huo na Maofisa wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar wakitowa Mada ya Utalii wa Zanzibar. 
Kiongozi wa Ujumbe wa Wafanyabiashara ya Utalii Nchini China Dk Adam Wu akielezea Utalii wa China wakati wa mkutano wao na Wafanyabiashara ya Utalii wa Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
Wafanyabiashara ya Utalii Zanzibar wakifuatilia Mada hiyo ya Utalii wa China ikiwasilishwa na Kiongozi wa Msafara huo Dk Adam Wu. wakati wa mkutano wao. 
Wafanyabiashara ya Utalii Zanzibar wakifuatilia Mada hiyo ya Utalii wa China ikiwasilishwa na Kiongozi wa Msafara huo Dk Adam Wu. wakati wa mkutano wao. 

Afisa wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Ndg Amour Mtumwa Ali, akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Biashara ya Utalii kutoka China wakati wa mkutano wao wa kuzungumzaia Biashara hiyo kwa pande hizi mbili za Zanzibar na China. kushirikiana katika biashara ya Uatalii. 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Fisherman Tour Zanzibar Ndg Ali Amour akibadilishana kadi ya Kiongozi wa Ujumbe wa Wafanyabiashara ya Utalii Nchini China Dk Adam Wu, wakati wa mkutano wao uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.