Tuesday, June 21, 2016

Harakati za Mitaani Zenj

Wananchi wa Zenj wakiwa katika harakati za hapa na pale kujitafutia mahitaji yao katika mitaa ya darajani wakati wa kipindi hichi cha mfungo wa mwezi wa Mtukufu wa Ramadhani wakijiandaa na maandalizi ya sikuku kwa kujipatia kofia kwa ajili ya Sala ya Eddi baada ya mfungo.

No comments:
Write Maoni