VIROBA vya vipolo vikiwa na futari mbali mbali
ambazo zimekabidhiwa kwa kaya 460 zinazolea watoto mayatima kwa majimbo manne
kisiwani Pemba, futari hiyo iliyotolewa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha
ya watoto matima wa Majumbani Tanzania (TAQWA).(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
GARI aina ya kikeri ikipakia futari mbali mbali na
kuzipeleka katika shehia ya Ole ikiwa ni msaada unaotolewa kwa watoto mayatima
na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto matima wa Majumbani Tanzania
(TAQWA).(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
VIONGOZI mbali mbali wa Jumuiya ya tahafidhi Qurani na
maendeleo ya kiislamu Ole, wakijadiliana jambo mara baada ya kupakiwa kwa
futari polo 60 za futari kupelekwa katika moja ya shehia yenye watoto mayatima,
futari hiyo iliyotolewa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha
maisha ya watoto matima wa Majumbani Tanzania (TAQWA).(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKURUGENZI wa Fedha kutoka Jumuiya ya TAQWA Tanzania Ukhuti Tausi Ali Mkasiwa, akimkabidhi futari mama mlezi wa watoto mayatima katika kijiji cha Ole, futari hiyo iliyotolewa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto matima wa Majumbani Tanzania (TAQWA).(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)PEMBA.)
MKURUGENZI wa Fedha kutoka Jumuiya ya TAQWA Tanzania Ukhuti Tausi Ali Mkasiwa, akiwakabidhi futari watoto mayatima katika kijiji cha Ole, futari hiyo imetolewa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto matima wa Majumbani Tanzania (TAQWA).(Picha na Abdi Suleiman,
WAANDISHI wa Habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari wakizungumza na Mkurugenzi wa Fedha kutoka Jumuiya ya TAQWA Tanzania, Ukhuti Tausi Ali Mkasiwa mara baada ya kumalizika kwa zoezi la utoafi wa futari kwa kaya 460 zinazolea watoto mayatima kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANAKAYA mbali mbali kutoka shehia ya Kiungoni Jimbo
la Mgogoni Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakisubiri kupatiwa msaada
wa futari iliyotolewa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto matima
wa Majumbani Tanzania (TAQWA).(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
WANANCHI wa Tahfidh Qurani Ole, wakishusha mizigo ya
Futari katika gari mara baada ya kuwasili katika shehia ya Kiungoni,
zilizotolewa na Jumuiya ya Kusaidia kuboredha maisha ya watoto matima wa
Majumbani Tanzania (TAQWA).(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZAZI wanaolea watoto mayatima katika shehia ya
Kiungoni wakiondoka na misaada yao ya futari baada ya kukabidhiwa na Jumuiya ya
Kusaidia kuboredha maisha ya watoto matima wa Majumbani Tanzania (TAQWA).(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment