MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, June 21, 2016

Faidika na Sera ya Utalii kwa wote


Miongoni mwa Wavuvi wa eneo la Mnarani Makangale, kisiwani Pemba akiuza Bidhaa yake ya Pweza, katika Hoteli ya Mantareef ilioko Makangale, na kufaidika na sera ya Utalii kwa wote.


Picha na Bakar Mussa-Pemba.