MATANGAZO MADOGO MADOGO

Saturday, June 4, 2016

Innaa Lillaahi wainnaa ilayhi Raajiuun: Bondia Maarufu duniani Mohammed Ali afariki dunia.


Bingwa wa Ndondi alitejipatia umaarufu mkubwa duniani ni Mohammed Ali amehitimisha maisha yake jana Phoenix - area Hospital baada ya kuugua kwa muda mrefu akiwa na umri wa miaka 74