Tuesday, June 28, 2016

Mafunzo juu ya muundo wa Uongozi kwa Mameneja ya Saccos Kisiwani Pemba

 Msaidizi Mrajis wa Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba, Abdi Hamza Maalimu, akifunguwa mafunzo  juu ya muundo wa Uongozi kwa Mameneja ya Saccos Kisiwani Pemba, huko katika Ukumbi wa Tc Michakaeni .

Baadhi ya Mameneja wa Saccos Kisiwani Pemba, wakimsikiliza kwa makini Msaidizi Mrajis wa Idara ya Vyama vya Ushirika Kisiwani humo wakati akifunguwa mafunzo ya muundo wa Uongozi wa Saccos Kisiwani humo.


Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:
Write Maoni