Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula na Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais Dk. Ali Mohammed Shein, wakimuonyesha kiti cha kukaa, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli, walipoingia ukumbini, kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, kilichoongozwa na Mwenyekiti wa CCM, Dk Jakaya Kikwete, katika ukumbi wa Sekretarieti, katika jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo.Kamati kuu hiyo ilikuwa ni kwa ajili ya kupendekeza jina la Dkt Magufuli kuwa Mwenyekiti na baadae kuliwasilisha jina hilo kwenye Halmashauri kuu ya Taifa kwa ajili ya kupeleka kwenye mkutano.
TET NA TAKUKURU KUENDELEZA USHIRKIANO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
-
Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) na Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa
(TAKUKURU) kuendeleza ushirikiano katika mapambano dhidi ya Rushwa nchini
kupit...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment