Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Awasili Mkoani Dodoma Kuhudhuria Mkutano Maalum wa CCM.


Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma kuhudhuria Mkutano Maalum wa CCM kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk John Pombe Magufuli. kuchukua nafasi ya Mwenyekiti wa sasa Rais Mstaaf wa Tanzania, Mwenyekiti wa CCM Taifa  Mhe Jakaya Mrisho Kikwete 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohameid Shein, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg Vuai Ali Vuai alipowasili uwanja wa Ndege wa Dodoma leo asubuhi kuhudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. 
Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Serikali na Chama katika uwanja wa ndege wa Dodoma. 
Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meya wa Mji wa Dodoma katika uwanja wa ndege wa Dodoma. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma alipowasili uwanja wa ndege wa Dodoma kuhudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.