Habari za Punde

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM chafanyika leo Dodoma

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli mara alipowasili Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma leo alipohudhuria katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC uliofanyika katika ukumbi wa White House,[Picha na Ikulu.] 22/07/2016.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,akisalimiana na Mkewe Mama Salma Kikwete pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kabla ya kuanza kwa kikao cha siku moja cha  Halmashauri Kuu ya CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma leo, [Picha na Ikulu.]22/07/2016.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kabla ya kuanza kwa kikao cha siku moja cha  Halmashauri Kuu ya CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma leo, [Picha na Ikulu.]22/07/2016.

 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli mara mara alipowasili Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma kabla ya kikao cha siku moja cha  Halmashauri Kuu ya CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma  leo (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, [Picha na Ikulu.]22/07/2016.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Makamo Mwenyekiti CCM Bara Phili Mangula (katikati) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli(kulia) akiwepo na Mama Sakma kikwete, kabla ya kikao cha siku moja cha  Halmashauri Kuu ya CCM NEC kilichofanyika katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma  leo, [Picha na Ikulu.]22/07/2016.
 Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa walipohudhuria katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC uliofanyika katika ukumbi wa White House,[Picha na Ikulu.] 22/07/2016.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,(kulia) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akifungua mkutano wa Halamashauri Kuu ya CCM NEC Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, [Picha na Ikulu.]22/07/2016.
 Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa walipohudhuria katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC uliofanyika katika ukumbi wa White House,[Picha na Ikulu.] 22/07/2016.
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa walipohudhuria katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM NEC uliofanyika katika ukumbi wa White House,[Picha na Ikulu.] 22/07/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.