Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora Kati ya KVZ na Mafunzo Mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya KVZ Imeshinda 3--1.

Beki wa Timu ya Mafunzo akindoa mpira gorini kwake wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Nane Bora uliofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda mchezo huo kwa mabao 3--1.
Kipa wa Timu ya Mafunzo akidaka mpira huo huku mchezaji wa Timu ya KVZ akiwa tayari kuleta madhara wakati wa mchezo huo.uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda 3--1. Mchezaji wa Mafunzo na KVZ wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa hatua za Nane Bora Ligi Kuu ya Zanzibar.
 Benchi la ufundi la Timu ya Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Timu ya Mafunzo wakiwa na majonzi baada ya timu yao kukubali kipigo cha mabao 3--1. katika mchezo Nane Bora wa Ligi Kuu ya Zanzibar.
Mchezaji wa Timu ya Mafunzo akimpita beki wa timu ya KVZ wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Hatua za Nane Bora mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya KVZ imeshinda 3--1. 
Mshambuliaji wa Timu ya KVZ akimpita Beki wa Timu ya Mafunzo Mabingwa Watetezi wa Ligi Kuu ya Zanzibar msimu uliopita, katika mchezo huo timu ya KVZ imeshinda kwa mabao 3--1.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.