Habari za Punde

Ndege Kubwa ya Kwanza Kutua katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma Baada ya Utanuzi wa Uwanja huo Kuzinduliwa Awamu ya Kwanza na Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa.

Kampuni ya Ndege ya Precision Air ni kampuni ya kwanza kuurimbua Uwanja wa Ndege wa Dodoma baada ya Uzinduzi wa Mradi wa Utanuzi wa Uwanja huo kuweza kutoa huduma za ndege kubwa katika uwanja huo uliofanyiwa ukarabati kwa kujenga barabara ya kutulia ndege katika uwanja huo na kuwa na uwezo wa kutoa huduma kwa ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 90 na kutua katika uwanja huo.

Ndege ya Precision Air akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma jana baada ya uzinduzi wake katika hatua ya mwanzo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wafanyakazi wa Kampuni ya Precision Air baada ya kuwasili katika uwanja huo akitokea Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.