Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Hamad Rashid Mohammed akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Maruhubi kuhusiana na Kongano la zao la Mwani litakalofanyika Kijiji cha Mangapwani Wilaya Kaskazini ‘B’ (kulia) Mtafiti kutoka Taasisi ya Sayansi za Bahari Zanzibar Dkt. Flower Ezekiel Msuya na (kushoto) Katibu Mkuu Wizara hiyo Ali Juma
Baadhi ya waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria katika mkutano huo wakimsikiliza Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi Hamad Rashidi.
Dkt. Flower Ezekiel Msuya akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari kuhusu mambo yatakayofanyika kwenye Kongano hilo litakalofanyika Kijiji cha Mangapwani Wilaya ya Kaskazini ‘B’.(Picha na Salmin Saidi/Maelezo)
No comments:
Post a Comment