Habari za Punde

Shamrashamra za Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Mkoani Dodoma kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk John Pombe Magufuli leo.

 
 Jengo la Chama cha Mapinduzi la Dodoma Convention Center 
Wajumbe wakiwasili katika viwanja vya jengo hilo kuhudhuria Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Mjini Dodoma.

Wajumbe wakiingia katika ukumbi wa mkutano.
Wasanii wa Muziki wa TOT Plus wakitowa burudani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM.
Mabalozi Wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Maalum wa CCM uliofanyika Mjini Dodoma kwa kumchagua Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa Dk John Pombe Magufuli.
Mabalozi Wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Maalum wa CCM uliofanyika Mjini Dodoma kwa kumchagua Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa Dk John Pombe Magufuli.

Mambvo ya Burudani hayo kufurahia Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kumchangua Mwenyekiti Mpya wa CCM Dk John Pombe Magufuli.
Wajumbe wa Mkutano Maalum wa CCM wakiserebuka na muziki wa Bendi ya Vijana Jazz.iliotowa burudani katika ukumbi huo.kabla ya kuaza kwa mkutano huo.
 Mambo ya burudani ya bendi ya TOT wakati wa Mkutano Maalum wa CCM Mjini Dodoma. 
 Wazee wa CCM wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa mkutano mjini Dodoma.
Wazee wa CCM wakiwa katika ukumbi wa Mkutamo Mkuu Maalum wa CCM Mjini Dodoma  Mzee Ali Ameir na Mzee Yussuf Makamba wakiwa katika ukumbi wa mkutano huo mjini Dodoma.
Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Mhe Pandu Ameir Kificho akiwa katika ukumbi wa mkutano akisoma gazeti la Uhuru la Toleo Maalum la Mkutano Maalum wa CCM.   
Wageni waalikwa wakiwa katika ukumbi wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika Mjini Dodoma leo kwa kumchagua Mwenyekiti Mpya wa CCM Taifa.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakisubiri kufunguliwa kwa mkutano huo na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk Jakaya Mrisho Kikwete.
 Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Mhe Nape Mnauye akisalimiana na Mama Fatma Karume wakati wa mkutano huo. 
 Wake wa Viongozi ni baadhi ya wageni waalikwa katika mkutano huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano Mjini Dodoma. 
Kiongozi wa TLP Mhe Liyatonga Mrema akiwa katika ukumbi wa mkutano akiwa ni mmoja wa Viongozi wa Vyama vya Siasa walioalikwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika Mkoani Dodoma kumchagua Mwenyekiti Mpya, wa CCM Taifa. 
Mke wa Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Mama Fatma Karume akiwa na wake wa viongozi katika ukumbi wa mkutano wakisoma gazeti la Uhuru la Toleo Maalum la Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kumchagua Mwenyekiti Mpya ya CCM Dk John Pombe Magufuli. 
Msanii Mkongwe wa TOT Khadija Kopa akitowa burudani kwa Wajumbe wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM katika ukumbi wa Jengo la Dodoma Convention Center. Mkoani Dodoma wakati wa mkutano huo leofanyika leo asubuhi .  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.