WANANCHI mbalimbali wakishuhudia moja kati ya kiburudisho katika fensi hiyo iliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Michenzani.
WASANII WA UTAMADUNI wakionyesha igizo la ung’owaji wa jino katika Tamasha la 21 Utamaduni wa Mzanzibari katika maonyesho yaliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.
WAZIRI wa Habari, Utlii,Utamaduni na Michezo Zanzibar Rashid Ali Juma akipokea maonesho ya fensi mbali mbali ya Tamasha la 21 la Utamaduni wa Mzanzibari yaliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.
WAJASIRIAMALI wakionesha bidhaa mbali mbali walizotengeza katika maonyesho ya Tamasha iliyofanyika katika Mnara wa kumbumkumbu wa miaka 50 Mchenzani.
. (PICHA NA MIZA OTHMAN – HABARI MAELEZO –ZANZIBAR).
No comments:
Post a Comment