Afisa Habari wa UNFPA Zanzibar Ali Haji akijibu maswali ya waandishi wa habari katika mkutano huo, (kulia) Mwakilishi wa Shirika UNFPA Dk. Natalia Kanem.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Mwakilishi wa UNFPA Dk. Natalia Kanem wakati wa mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisi za Umoja wa Mataifa Zanzibar ziliopo Kinazini Mjini.
Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia idadi ya watu (UNFPA) Dk. Natalia Kanem (alievaa njano) akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu ushiriki wao katika kuhamasisha uzazi salama katika Tamasha la Kimataifa la Nchi za Jahazi (ZIFF) linaloendelea Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment