Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ukarabati na Utanuzi wa Kiwanja wa Ndege Cha Dodoma.

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Prof Makame M Mbarawa alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Dodoma kwa ajili ya uweka jiwe la msingi la utanuzi wa uwanja huo.
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya uwekaji jiwe la msingi 
Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya uwekaji jiwe la msingi 
 Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliani Mhe Prof Makame Mbarawa wakielekea katika eneo la uwekaji wa jiwe la Msingi la Uwanja wa Ndege wa Dodoma unaojengwa na Kampuni ya Chico. 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akibonyeza kitufe kuashiria kuzinduzi wa Uwanja huo kwa awamu ya Mwazo ya Ujenzi wake wa Utanuzi wa Uwanja huo wa Ndege wa Dodoma baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Uwanja huo 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.