AFISA Ushirika Wilaya ya Mkoani Ali Mohamed Ali,
akifungua mafunzo ya siku moja kwa wajasiriamali wa Wilaya hiyo, yaliyoandaliwa na kamisheni ya Utalii Pemba, kulia Mwneye kofia aliyekaa ni Mdhamini wa
Kamisheni hiyo Mwalim Suleiman Amour Suleiman, juu ya uhamasishaji
wajasiriamali kuzalisha bdhaa zinazoendana na soko la Utalii.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MDHAMINI wa Kamisheni ya Utalii Kisiwani Pemba,
Mwalim Suleiman Amour Suleiman, akizungumza na wajasiriamali wa Wilaya ya
Mkoani, juu ya uhamasishaji wajasiriamali hao kuzalisha bidhaa zinazoendana na
soko la Utalii.(Picha na Abdi Suleiman,
PEMBA.)
MJASIRIAMALI Asya Abdalla kutoka Mbunguwani Wilaya
ya Mkoani, akiwashajihisha wajasiriamali wenzake kutengeneza mikoba ya kisasa
inayoendana na soko la Utali, ili kuwafanya wajasiriamali hao kubadilika katika
utengenezaji wa biashara zao.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
MJASIRIAMALI Fatma Juma Kutoka Kenda shehia ya
Kiwani, akionoesha moja ya bidhaa zao wanazozalisha katika kikundi chao, huku
zikiwa zimekosa soko la kuuziwa kwa sasa.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment