Habari za Punde

Dk Shein ashiriki katika khitma ya Mzee Aboud Jumbe

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamuwakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) pamoja na Viongozi na waumini wa Dini ya kiislamu wakisoma Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mwushawal Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
 Viongozi mbali mbali waliojumuika katika Kisomo cha Dua ya Khitma ya kumuombea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi katika msikiti wa Mushawar Mwembe Shauri Mjini Unguja leo jioni,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.
 Miongoni mwa Waumini wa Dini ya Kiislamu walioshiriki katika msikiti wa Mushwawal Mwembe Shauri Mjini Unguja wakisoma dua ya Khitma leo ya kumuonbea Dua Marehemu Rais wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi aliyezikwa juzi nyumbani kwake Migombani,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.


Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi  akitoa shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein  pamoja na Viongozi na Wananchi na waislamu walioshiriki katika Khitma ya Dua ya kumuombea  Rais mstaafu wa Awamu ya Pili wa Zanzibar Marehemu Mzee Aboud Jumbe Mwinyi,Iliyosomwa leo katika Msikiti wa Mushawara Mwembe shauri Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]17/08/2016.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.