MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, August 26, 2016

Dua ya kumuombea Mzee Aboud Jumbe Mwinyi iliyofanyika Msikiti wa Chachani, Chake pembaWananchi kisiwani Pemba waiwa katika Khitma ya kumuombea dua Mzee Aboud Jumbe Mwinyi iliyosomwa katika Msikiti wa Chachani , Chakechake Pemba siku ya Alkhamisi 25/08/16 kwa kushirikiana na familia ya Marehemu