MATANGAZO MADOGO MADOGO

Saturday, August 6, 2016

Jengo la Skuli ya Maandalizi Junguni Gando

Jengo la Skuli ya Maandalizi katika kijiji cha Junguni Gando, ambalo limejengwa kwa ufadhili kutoka Mfuko wa maendeleo ya Jamii Tanzania (TASAF3) baada ya Wanakijiji kuibuwa mradi huo.

Picha na Bakar Mussa -Pemba,