Habari za Punde

Mkutano wa wazi, juu ya utayarishaji wa sheria na katiba wafanyika Shehia ya Mtemani

 AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar tawi la Pemba, Khalfan Amour Mohamed akizungumza kwenye mkutano wa wazi, kwa wananchi wa Shehia ya Mtemani Jimbo la Wingwi wilaya ya Micheweni Pemba, juu ya utayarishaji wa Katiba na sheria, (Picha na Haji Nassor, Pemba)
 WANANCHI wa shehia ya Mtemani Jimbo la Wingwi wilaya ya Micheweni Pemba, wakisikiliza uwasilishaji wa namna ya kuandaa sheria na katiba, mkutano huo wa wazi uliandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 SHEHA wa shehia ya Mtemani Jimbo la Wingwi wilaya ya Micheweni Mohamed Ali Hamad, akifungua mkutano wa wazi, juu ya utayarishaji wa sheria na katiba ulioandaliwa na ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
  AFISA Mipango wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba Mohamed Hassan Ali, akiwafundisha wananchi wa shehia ya Mtemani wilaya ya Micheweni jinsi ya utayarishaji wa Katiba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MMOJA wa wananchi wa Shehia ya Mtemani wilaya ya Micheweni Pemba, akiuliza suali, kwenye mkutano wa wazi wa kufundishwa utayarishwaji wa katiba na sheria na watendaji wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MRATIBU wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akizungumza kwenye mkutano wa wazi, kwa wananchi wa shehia ya Mtemani wilaya ya Micheweni Pemba, juu ya elimu ya utayarishaji wa Katiba na sheria, (Picha na Haji nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.