Sunday, August 21, 2016

Ujenzi wa barabara ya Chake Chake Spitali-Tibirinzi waanza

UJENZI wa Barabara ya Chake Chake Spitali-Tibirinzi, ikiwa imeanza kwa hatua ya awali ya uchimbuaji wa daraja katika barabara hiyo inayojengwa kwa kiwango cha lami.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:
Write Maoni