Transfoma kutoka Shirika la Umeme
Zanzibar ZECO, ikiwa imeshawekwa kwenye eneo Daya Mtambwe wilaya ya Wete mkoa
wa kaskazini Pemba, panapojengwa jengo jipya la Chuo cha Amali
Eneo la Daya Mtambwe Wilaya Wete
Mkoa wa kaskazini Pemba, mbalo linaendelea kutayarishwa kwa ajili ya ujenzi wa
jengo la jipya la kisasa, la Chuo cha Amali linalojengwa na kampuni ya
kizalengo ya ZECCON co LTD ya Zanzibar
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya
Amali Zanzibar Mhe: Riziki Pembe Juma, akiwa na Mhandishi wa ujenzi wa jengo la
Chuo cha Amali eneo la Daya Mtambwe wilaya ya Wete mkoa wa kaskazini Pemba,
wakati waziri huyo alipotembelea ujenzi huo
Waziri wa Elimu na Mfunzo ya
Amali Zanzibar Mhe: Riziki Pembe Juma akizungumza jambo, wakati alipofanya
ziara ya kukagua ujenzi wa jengo la Chuo cha Amali Daya Mtambwe wilaya ya Wete
Mkoa wa Kaskazini Pemba, mbele ya mhandisi wa ujenzi wa jengo hilo, kutoka
kampuni ya ZECCON Co Ltd Zanzibar
No comments:
Post a Comment