Wednesday, August 10, 2016

Muonekano wa Mandari ya Mji Mkongwe wa Zenj

Muonekano wa Mji Mkongwe wa Zanzibar kama unavyoonekana picha iliopigwa kwa juu wakati nikiwa katika safari zangu nikirudi Zenj hivi karibuni nimebahatika kuipiga picha hii nikiwa katika ndege. Ni mji uliokuwa na vivutio vingi vya historia ya Zanzibar. 

No comments:
Write Maoni