Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada
ya kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya
wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kuwasili akitokea Chato mkoani
Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwapungia wanakwaya wa UWT Kisima cha maji Chumvi mara baada
ya kuhutubia wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwalimu Mstaafu wa Shule ya Sekondari Sengerema Wilson Fumbuka Mbanga ambaye
walifundisha naye shule hiyo tokea mwaka 1982-1985 mara baada ya kumaliza
mkutano wa hadhara Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiaagana na wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya
kumaliza kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Busisi wakati akielekea Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa ndani ya kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani
Mwanza.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment