MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, August 17, 2016

Waziri Castico aukagua Uwanja wa michezo Gombani baada ya kumalizika kuwekwa Tartan


Wizara ya Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe:Maudline Cyrus Castico, akiangalia tatani ya Uwanja wa michezo gombani Kisiwani Pemba, baada ya kukamilika kwake, wakati alipokuwa katika ziara yake ya siku mbili Kisiwani Pemba, wa kwanza kulia ni meneja wa uwanja huo Issa Juma Issa.(Picha Na Abdi Suleiman, PEMBA.)