Habari za Punde

Kadi mpya inakuja kwa wanaotuma pesa nyumbani Escape travel Card

Kama miongoni mwetu tuna jamaa zetu walioko Zanzibar ama sehemu nyingine Africa na huwa tunapeleka pesa mara kwa mara. Company yetu iliyoko hapa Uingereza inarahisisha huduma hiyo kwa kuwa na Card ambazo zinapatikana kwa wenyeji/raia wa UK tu.
Ni rahisi tu, wewe uliyeeko hapa UK ataomba hii Card kupitia katika Company yetu pamoja na Card nyingine (i.e additional card) ya yule mtu wako aliyeoko Zanzibar ama sehemu nyingine za Africa, then ukiweka pesa ktk ile Card alokuwa nayo wewe hapa UK, yule mtu wako aliyeoko Zanzibar ama sehemu nyingine za Africa atazipata hizo pesa muda huo huo.
 
Hana haja ya kupanga foleni ama kwenda kuchukua pesa sehemu fulani, muondoshee usumbufu wa kusubiri siku mbili tatu kupata pesa ama kusubiri kupigiwa simu, zile pesa zikiwekwa tu ktk ile Card ya hapa na Jamaa yako anazipata instantly na bila ya usumbufu wowote.
 
Hii Card fee yake inapatikana kwa £10 na additional card ni £2.50 lakini ukiweka £100 ktk Card yako within 30 days baada ya kuipata Card ile £10 utarejeshewa as a refund na itakuwa ktk account yako, na kufanya hii Card kuwa bure (FREE) lkn ile fee £2.50 ya additional card haitarudishwa.
 
Hii Card inatumika hata kwa wale walio hapa UK kama bank card za kawaida (yaani kama debit card or credit card) kwa kufanyia shopping online, supermarkets, high street retailers, n.k. Kama umeamua hutaki kutumia hii card tena pesa zilobakia ktk hii card unaweza kuzitumia kama unavyotumia card zako za bank vile.
 
Vile vile unaweza pia kupokea mshahara wako ama benefits direct kupia hii card.
 
Kwa hivyo ni nzuri pia kwa wale wanaosumbuka kufungua bank account hapa UK. Sema inafaida nyingi kwa wale jamaa zetu huko Africa na sehemu zingine duniani ama ukienda holiday.
 
Direct link ya kuomba hii Card kwa ajili ya huduma hii ni -  www.serviceonpoint.co.uk/escape-travel-card
 
Ukihitaji kupata maelezo zaidi au kama utakuwa na suali lolote wasiliana nami Soha +447899318118 (napatikana ktk whatsApp).
 
Nyote mnakaribishwa.
Shukran.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.