Habari za Punde

Kamisheni ya Utumishi wa Umma ziarani Pemba kukagua taasisi

 MWENYEKITI wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar Mohamed Fakih Mohamed akizungumza na uongozi wa Wizara ya Afya Pemba, mara baada ya kuzitembelea taasisi zilizomo ndani ya wizara hiyo Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 MGANGA Mkuu wa Afya Pemba dk Mbwana Shoka, akimpa maelezo Mwenyekiti wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar Mohamed Fakih wakati ujumbe wa kamisheni hiyo ilipotembelea wizara hiyo, kisiwani Pemba (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 KATIBU wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Zanzibar Mdungi Makame Mdungi, akitoa ufafanuzi wakati alipotembelea wizara hiyo na ujumbe wake,  kuangalia utendaji wa kazi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

  UJUMBE wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma wakipenye penye kwenye Idara na taasisi za Wizara ya Afya Pemba, ili kuangalia utendaji wa kazi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MKUU wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar ofisi ya Pemba Bakar Mussa Juma, akiomba ufafanuzi kwa Mdhamini wa ZSTC Pemba Abdalla Ali Ussi hayupo pichani, wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya kuwepo kwa taarifa za uongo kuwa mezani ya kupimia karafuu Mkoani ni mbovu, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.