NAIBU Mkurugenzi Mwakilishi wa UNIDO Tanzania Gerald
Runyoro, akizungumza na wajasiriamali wa Kisiwa Cha Pemba, katika mafunzo ya
siku tatu huko katika Ukumbi wa chuo cha mafunzo ya amali Vitongoji.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAJASIRIAMALI wa Kisiwa Cha Pemba, wakifuatilia kwa
makini mafunzo ya ujasiriamali yanayotolewa na UNIDO Tanzania, huko katika
ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWAKILISHI wa Zanzibar Chamber Of Commerce, Dkt
Mohammed Hafidh Khalfan, akitoa salamu za jumuiya hiyo kwa wajasiriamali wa
kisiwa Cha Pemba, huko katika ukumbi wa Chuo cha Mafunzo ya Amali Vitongoji
Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment