Habari za Punde

ZRB na TRA Zanzibar wafanya Semina kwa wanafunzi wa skuli ya Sekondari Chasasa, Wete Pemba

 WANAFUNZI wa mchepuo wa biashara na kompyuta wanaosoma skuli ya sekondari ya Chasasa Wete Pemba, wakisikiliza mada juu ya umuhimu wa Kodi kwa wanafunzi, kwenye semina iliofanyika skulini kwao, na kuandaliwa na ZRB na TRA Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 AFISA Elimu kwa walipa kodi kutoka TRA Zanzibar, Saleh Haji Pandu, akizungumza na wanafunzi wa mchepuo wa biashara na kompyuta wa skuli ya Chasasa sekondari wilaya ya Wete, juu ya aina ya kodi zinazokousanywa na TRA, kwenye semina iliofanyika skulini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
  WANAFUNZI wa mchepuo wa biashara na kompyuta wanaosoma skuli ya sekondari ya Chasasa Wete Pemba, wakisikiliza mada juu ya umuhimu wa Kodi kwa wanafunzi, kwenye semina iliofanyika skulini kwao, na kuandaliwa na ZRB na TRA Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
  MSIMAMIZI wa kodi za ndani kutoka ZRB Pemba Arif Mohamed Said, akifafanua jambo, juu ya umuhimu kwa wananchi kulipa kodi zao, kwenye semina kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara na kompyuta wa skuli ya sekondari Chasasa Wete Pemba, semina hiyo imendaliwa na ZRB na TRA, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
  WANAFUNZI wa mchepuo wa biashara na kompyuta wanaosoma skuli ya sekondari ya Chasasa Wete Pemba, wakisikiliza mada juu ya umuhimu wa Kodi kwa wanafunzi, kwenye semina iliofanyika skulini kwao, na kuandaliwa na ZRB na TRA Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 AFISA Uhusiano wa ZRB Zanzibar Makame Khamis Mohamed, akielezea uhumi wa elimu ya kodi, kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara na kompyuta wa skuli ya sekondari ya Chasasa Wete Pemba, kwenye semina ya siku moja, ilioandaliwa na ZRB na TRA, (Picha na Haji Nassor, Pemba).  
 MWALIMU wa somo la biashara skuli ya sekondari ya Chasasa Ali Hamad Nondo, akiuliza suali kwa watendaji wa ZRB na TRA, kwenye semina ya umuhimu wa kulipa kodi, iliofanyika skulini hapo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
 MWANAFUNZI wa darasa la kumi na mbili, skuli ya Chasasa wete Pemba Yasseir Ali Hamad, akiomba ufafanuzi juu ya aina ya kodi, kwa watendaji wa ZRB na TRA, kwenye semina ya juu ya umuhimu wa kodi, ilioandaliwa na taasisi hizo, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWANAFUNZI wa darasa la kumi na mbili, skuli ya Chasasa Wete Pemba Rukia Abuu Juma, akiomba ufafanuzi juu ya aina ya kodi, kwa watendaji wa ZRB na TRA, kwenye semina ya juu ya umuhimu wa kodi, ilioandaliwa na taasisi hizi, (Picha na Haji Nassor, Pemba).   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.