MATANGAZO MADOGO MADOGO

Thursday, September 22, 2016

Naibu Waziri wa Elimu na mafunzo amali azungumza na Walimu wakuu wa skuli za Wilaya ya Micheweni, Pemba

 NAIBU waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mmanga Mjengo Mjawiri, akizungumza na Masheha, Walimu wakuu na Wenyeviti wa kamati za skuli Wilaya ya Micheweni, huko katika skuli ya Sekondari Micheweni.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 WALIMU wakuu na Wenyeviti wa kamati za skuli Wilaya ya Micheweni Kisiwani Pemba, wakimsikiliza Naibu waziri wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakati alipokuwa akizungumza na walimu hao.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)