Habari za Punde

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein Azungumza na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar.

 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Mama Liu Jie, alipofika kumtembelea na kujitambulisha Ikulu ya Migombani Zanzibar
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akizungumza na Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyeko Zanzibar Mama Liu Jie, alipofika kumtembelea na kujitambulisha Ikulu ya Migombani Zanzibar
Mke wa Balozi Mdogo wa China aliopo Zanzibar Mama Liu Jie akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, wakati alipofika Ikulu Migombani kumsalimia na kujitambulisha kwake.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi kikasha Mke wa Balozi Mdogo wa China aliyopo Zanzibar Mama Liu Jie, alipofika Ikulu migombani kujitambulisha. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiwa na mgeni wake akimshindikiza baada ya mazungumzo yao wakati alipofika Ikulu migombani Mke wa Balozi Mdogo wa China Zanzibar Mama Liu Jie.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.